unnamed.png
 
 

Kanisa la Nations of Praise SDA Church ni kanisa ambalo lilianzishwa na msingi wa upendo kwa Mungu na wanadamu. Tunaamini ya kwamba lazima tujijenge kiroho and kuinuana kama ndugu na dada tukijitayarisha kuja kwa Yesu mara ya pili. Tunaamini pia tumepewa kazi kubwa ya kueneza injili. Kitabu cha Mathayo 28:19-20   Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.

Amina Nations of Praise SDA Church is a church built around love for God and mankind. We believe in building relationships and up-lifting each other spiritually to prepare ourselves for the Second coming of Jesus Christ Our Savior. We also believe in the Great Commission in Matthew 28:19-20 Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost. Amen!

Services: Saturday 10am

Language: Swahili